About us

In English: This page is being created in order to share the various issues concerning legal matters. The main purpose is to help everyone who eager to be conversant with law especially to those aspects which touch they are day to day life. Apart from that also it tends to help the law students, juniors lawyers, journalist or any one who wish to be equipped with the legal knowledge and in order to do so the site is using two languages to represents its contents i.e. English and Swahili Language.
  
In Swahili: Ukurasa huu umeundwa mahususi kwa ajili ya kujifunza mambo mbalimbali yahusuyo sheria. Lengo kuu ni kumsaidia kila mmoja alie na kiu kufahamu kuhusu sheria hususani kwenye masuala yote yanayogusa maisha yao ya kila siku. Pia ukurasa huu unalenga kuwasaidia wanafunzi wa sheria, wanasheria wachanga, waandishi wa habari au mtu yeyote anayetaka kufahamu kuhusu sheria na ili kufanya hivyo ukurasa huu utatumia lugha mbili kuwasilisha maudhui yake ambayo ni Kiingereza na Kiswahili.